- Matangazo ya Freestyle Football:- ya kutangaza bidhaa
- Kozi za Freestyle Football
- Burudani ya Freestyle Football kwenye matukio mbalimbali kama semina, matamasha, mashindano, warsha n.k.
- Usajili wa:- Vyama (Vilabu, vikundi, Taasis), Mchezeaji, Walimu / Makocha, Watumishi
- Mashindano kwa waandaji wengine tunatoa huduma ya:-
- Uendeshaji
- Uratibu
- Usimamizi