Wachezeaji


                 Jina Kamili - Jina la Utani
  1. Hussein Thabeet - Jet
  2. Juma Nassoro - Kisungura / Pontera
  3. Gulam Sosha - Sosha
  4. Kassim Juma - Zungu
  5. Alawi Omari Janja - Janja / Junior
  6. Omary Hussein - Chaboli / Gaucho
  7. Omari Juma - Mbwaila
  8. Mrisho Bakari - Van Perse
  9. Soud A. Fundikira - Fundikira
  10. Ally Suleiman - Chaba
  11. Salehe A. Mtopa - Ben Mavitu
  12. Emanuel R. Mwakilima - Zickodinho
  13. Hassan Kitenge - Ronaldo
  14. Nicky Benedict - Vidari
  15. Sultan Mohammed - Kidondi
  16. Alex Mwaipopo - Racca
Hawa wachezeaji ni wale walioshiriki fainali ya Shindano la kiMkoa la Ubingwa wa kuchezea mpira wa miguu - Dar Es Salaam (DAR ES SALAAM FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP - DFFC 2016). DFFC2016 liliwakutanisha mabingwa wa kiWilaya za Mkoa wa DSM katika Wilaya 3 tu Temeke, Ilala na Ubungo. Fainali ilifanyika Wilaya ya Kinondoni Cocobeach.
Mabingwa walikuwa 1. Hussein Thabeet 2. Juma Nassoro 3. Gulam Sosha

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi