Sanaa Ya Soka. Burudani Tosha |
Kutoka kurugenzi ya Katiba na Sheria, Idara ya Katiba, kitengo cha Mawasiliano. Hii ndio nembo kuu ya uchezeaji mpira itakayotumika katika waraka, nyaraka na sehemu yoyote ile ambayo itakuwa inawakilisha serikali ya Freestyle Football Tanzania ndani na nje ya Tanzania.