Friday, January 13, 2017

Alama: Nembo kuu ya Freestyle Football Tanzania hii hapa

Sanaa Ya Soka. Burudani Tosha

Kutoka kurugenzi ya Katiba na Sheria, Idara ya Katiba, kitengo cha Mawasiliano. Hii ndio nembo kuu ya uchezeaji mpira itakayotumika katika waraka, nyaraka na sehemu yoyote ile ambayo itakuwa inawakilisha serikali ya Freestyle Football Tanzania ndani na nje ya Tanzania.

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi