Leo siku ya Pasaka mosi 16 Aprili, 2017, Rais wa Freestyle Tanzania alikuwa 90.0 TBC FM ambapo alikuwa akihojiwa na ndg. Khalid Ali Gangana katika kipindi cha Michezo kiitwacho NIPE TANO kwenye kipengele cha Michezo ni juu ya jukwaa. Mhe. Morison Mosses alizungumzia suala la ujio Ronaldo De Assiss Moreira maarufu kama Ronaldinho Gaucho na ndiye balozi wa Freestyle Football ya Dunia iliyopo Uingereza.