Tarehe 14 Aprili siku mbili kabla ya Rais wa mchezo wa Freestyle Football Tanzania na Freestyle Tanzania Mhe. Morison Mosses kwenda kufanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha TBC FM Mubashara tarehe 16 Aprili siku ya sikukuu ya Pasaka mosi, Waziri wa Michezo ali-post video ya Freestyle Football ya kijana kutoka Uganda.
https://www.instagram.com/p/BS3IZ9TARDi/?r=wa1
Bofya hiyo link☝️hapo juu kuona video ya Freestyle Football iliyo-postiwa na Waziri wa Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe.