Jina Kamili - Jina la Utani
- Hussein Thabeet - Jet
- Juma Nassoro - Kisungura / Pontera
- Gulam Sosha - Sosha
- Kassim Juma - Zungu
- Alawi Omari Janja - Janja / Junior
- Omary Hussein - Chaboli / Gaucho
- Omari Juma - Mbwaila
- Mrisho Bakari - Van Perse
- Soud A. Fundikira - Fundikira
- Ally Suleiman - Chaba
- Salehe A. Mtopa - Ben Mavitu
- Emanuel R. Mwakilima - Zickodinho
- Hassan Kitenge - Ronaldo
- Nicky Benedict - Vidari
- Sultan Mohammed - Kidondi
- Alex Mwaipopo - Racca
Hawa wachezeaji ni wale walioshiriki fainali ya Shindano la kiMkoa la Ubingwa wa kuchezea mpira wa miguu - Dar Es Salaam (DAR ES SALAAM FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP - DFFC 2016). DFFC2016 liliwakutanisha mabingwa wa kiWilaya za Mkoa wa DSM katika Wilaya 3 tu Temeke, Ilala na Ubungo. Fainali ilifanyika Wilaya ya Kinondoni Cocobeach.
Mabingwa walikuwa 1. Hussein Thabeet 2. Juma Nassoro 3. Gulam Sosha