Ni muhimu kujua Sheria, Taratibu na Kanuni (STK) za Mchezo ili kujua majukumu na wajibu wako, Masharti na makatazo ili kutojiingiza hatiani wakati wa mchezo. Hivyo, umuhimu huo unakupa kujua namna utatekeleza kile utakachofanya mahali / wakati wa mchezo kama wewe ni kiongozi, mchezeaji, mdau, muandaji wa mchezo n.k.
Imetolewa na:
KURUGENZI YA KATIBA NA SHERIA
IDARA YA SHERIA
KITENGO CHA STK
SEHEMU YA MCHEZO
KURUGENZI YA KATIBA NA SHERIA
IDARA YA SHERIA
KITENGO CHA STK
SEHEMU YA MCHEZO
Mtoaji:
Kaimu wa Mkurugenzi wa Katiba na Sheria
Kaimu wa Mkurugenzi wa Katiba na Sheria
Sheria hizi unazipata katika blog yetu upande wa kulia chini palipo andikwa Nyaraka.