Ngome Kuu

Ni jengo / ofisi kuu ya Freestyle Football Tanzania.

FREESTYLE FOOTBALL TANZANIA

FFT - Inasimamiwa na kuendeshwa kwa mamlaka ya klabu ya Genius MP ya kuchezea mpira wa miguu (Genius MP Freestyle Football Club).

Genius MP Freestyle Football Club

G-MP - Klabu ya Michezo mbalimbali na ni klabu tawala ya mchezo wa kuchezea mpira wa miguu nchini yenye jukumu na mamlaka ya kusimamia, kuendesha na kuratibu mchezo wa Freestyle Football Tanzania. Ina usajili wa namba NSC 11410. Klabu ina uhusiano na Shirikisho la ulimwengu wa mchezo huu (WORLD FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION - WF3) ambalo balozi wake mkuu ni Ronaldinho Gaucho.

DIRA

Kuwa wenye kuratibu, kukuza, kuendeleza mchezo na mamlaka ya kusimamia mchezo wa kuchezea mpira wa miguu nchini. 

DHAMIRA

Kuwa waboreshaji bora wa mchezo wa kuchezea mpira wa miguu nchini.

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi