Wiki hii Januari 11,2017, World Freestyle Football Federation lilitangaza wachezeaji 16 ambao watashiriki katika shindano la dunia la Tour. Kutokana na STK za kushiriki WFFT - World Freestyle Football Tour zinataka washiriki 16 tu ambao wameshiriki mashindano makubwa duniani ambayo yanatambulika na WF3 kwa viwango vya alama za WF3.
Wachezeaji 8 bora kutoka Tour ya dunia ya mwaka 2016, wachezeaji 6 bora kutoka kwenye viwango vya dunia vya WF3 na wawili kuchaguliwa kwa kupigiwa kura na wajumbe kamati ya dunia WF3
.