UONGOZI
- Rais - Kiongozi wa FFT / Mkuu wa FFT
- Makamu Wa Rais - Msaidizi Mkuu wa Rais
- Mkurugenzi Mkuu / Katibu Mkuu - Mdhibiti, Msimamiaji, Mtekelezaji / Kiongozi wa Shughuli za FFT
- Baraza la Wakurugenzi - Wajumbe wake ni Rais, Makamu wa Rais, Mkurugenzi Mkuu na Wakurugenzi wote
- Msemaji Mkuu
- Mwanasheria Mkuu
WACHEZEAJI
- Taifa
- Binafsi
- Vikundi
- Vilabu