Tuesday, January 31, 2017

Safari ya Ulaya: Kabla ya kuelekea SUPERBALL 2017 inaanza hii ya WINTERBALL 2017

Kama unavyojua SUPERBALL ni Michuano ya ubingwa wa wazi wa Kuchezea mpira wa miguu Duniani ambayo hufanyika kila mwaka mwezi wa 8 kuanzia tarehe za mwishoni mwa mwezi huo nchini Jamhuri ya CZECH.

Sasa kabla ya michuano hiyo kuna michuano ya ubingwa wa wazi wa Kuchezea mpira wa miguu kimataifa huitwao kwa jina maarufu WINTERBALL - (INTERNATIONAL FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP) ambayo hufanyika kila mwaka mwezi wa 3 nchini Italia ikukusanya mataifa mbalimbali yanayojuhusisha na Freestyle Football.

Vile vile kutakuwa na mkutano mkuu wa Uchezeaji wa mpira kwa bara la Ulaya pamoja na shindano la ubingwa kitaifa  wa Uchezeaji mpira wa miguu Italia

Imetolewa na:
Ofisi ya Rais
Idara ya TEHAMA
Kitengo cha habari
Sehemu za nje ya bara la Afrika
Divisheni ya bara la Ulaya

Mtoaji ni:
Mkuu wa Idara {Msaidizi Wa Rais}
Ofisi ya Rais
Idara ya TEHAMA

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi