Tayari imeshatangazwa ratiba ya ubingwa wa wazi wa Kuchezea mpira wa miguu Duniani 2017 (WORLD OPEN FREESTYLE FOOTBALL CHAMPIONSHIP 2017) ambayo michuano ya kuwania ubingwa huo utaanzia tarehe 21 - 26 Agosti. Vipengele vyote vya michuano ya Uchezeaji mpira vimeorodheshwa katika ratiba hiyo.
#TwenzetuSuperball2017. #SafariHiiNiYetuSote
Imetolewa na:
KURUGENZI YA MAMBO YA NJE
Idara ya Habari
Kitengo cha Mashindano
Mtoaji:
Kaimu Mkurugenzi wa Mambo ya nje