Sunday, January 22, 2017

Ziara: Rais wa Freestyle Football Tanzania alipotembelea uwanja wa Taifa na ofisi za BMT

Juzi juzi tarehe 20 Januari, 2017 Rais wa Freestyle Football Tanzania ndugu Morison Mosses alizuru uwanja wa Taifa kuangalia hali ya uwanja ikoje ili kuona namna gani wanaweza kuutumia uwanja huo.

Aidha, Rais alifika Ofisi za Baraza la Michezo la Taifa kuzungumza nao mawili matatu juu ya Freestyle Football Tanzania namna ya kukuza mchezo huu.

Imetolewa na:
NGOME KUU
IDARA YA HABARI
SEHEMU YA ZIARA

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi