Forbes Tanzania yamtaja Rais wa Uchezeaji wa mpira wa miguu Tanzania
Siku chache zilizopita akaunti ya Instagram ya jarida kubwa Duniani Forbes kwa upande wa Forbes Tanzania imemshukuru na kum-follow Rais wa Freestyle Football Tanzania ndugu Morison Mosses