Wednesday, April 26, 2017

WAZIRI WA MICHEZO DKT. MHE. HARRISON MWAKYEMBE A-POST VIDEO YA FREESTYLE FOOTBALL KWENYE AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM

Tarehe 14 Aprili siku mbili kabla ya Rais wa mchezo wa Freestyle Football Tanzania na Freestyle Tanzania Mhe. Morison Mosses kwenda kufanya mahojiano na mtangazaji wa kipindi cha TBC FM Mubashara tarehe 16 Aprili siku ya sikukuu ya Pasaka mosi, Waziri wa Michezo ali-post video ya Freestyle Football ya kijana kutoka Uganda.

https://www.instagram.com/p/BS3IZ9TARDi/?r=wa1

Bofya hiyo link☝️hapo juu kuona video ya Freestyle Football iliyo-postiwa na Waziri wa Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe.

Nifanyaje kuomba

U A N A C H A M A - G e n i u s MP
Jaza fomu ya uanachama, kisha ipeleke Ngome kuu, ofisi ya klabu ya Genius MP, kamati ya usajili.

U B I A

U S H I R I K A

U D H A M I N I

U F A D H I L I

Ruksa Fursa kuwa:

1. Mchezeaji mpira
2. Kocha
3. Jaji
4. MC
5. Mtawala / Kiongozi / Mtumishi